Unaweza kugombana na mtu sababu ya mtu?

Unaweza kugombana na mtu sababu ya mtu?

Sawa

To accomplish much you must first lose everything..
 
Kwanini ugombane mkuu.

Kuna njia nyingi za kusolve migogoro.
 
Kwangu mimi yeyote atakae kwaruzana na wazazi wangu ni Adui kwangu hivyo yeyote atakaye sitisha/sitishiwa salamu na mzazi wangu na mimi hatoipata salamu yangu....vivyo hivyo kwa mtu atakaye fanya hayo kwa shemeji yako....
 
Jibu ni ndiyo.Unaweza kugombana na mtu kwa sababu ya MTU,kwa sababu ya kitu
 
Back
Top Bottom