Unaweza kuhama chuo?

Unaweza kuhama chuo?

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Umechaguliwa kwenye tawi la chuo unaweza kuhama kwanda main campus mfano muce kwenda udsm, amucta kwenda saut naomba mnijuze.
 
Inawezekana ila itasumbua(inachukua mda) kwenye kubadilisha allocation za boom
 
ww nahc huna boom! tulia kwenye hcho chuo km ungekosa je,?
 
ndugu yangu unaweza kuhama nyumba tu lakini chuo huwez kuhama kamwe!!#mzee kasema:embarrassed1:
 
Back
Top Bottom