Unaweza kuingia Uganda, Rwanda bila passport kutoka Tanzania?

Unaweza kuingia Uganda, Rwanda bila passport kutoka Tanzania?

Baba Nia

Member
Joined
Sep 26, 2021
Posts
78
Reaction score
73
Habari zenu wakuu,

Nina malengo ya kutembelea nchi za Uganda na Rwanda nikijaaliwa na Kenya na Burundi. Nilipata kuona mahala kwamba kama Mwananchi wa Jumuiya ya EAC naweza ingia bila passport ila kuna kibali napewa hivyo nilikua nauliza hapa kama kweli yawezekana kwa utaratibu huu na je napata wapi hiki kibali na kama kuna taratibu za ziada.

Pia uzoefu wa waliosafiri nchi hizi kwenda kurudi. Natanguliza shukrani katika kunielimisha na kunisaidia.

Asante
 
Kenya unaingia bila kitu chochote. Bora tu uwe na 1000ksh ya kuhonga dereva ili usisumbuliwe njia. Na ukishaingia nairobi utatembea kila mahali bila shida
Wacha bhana kwa bus au lori
 
Back
Top Bottom