TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
View attachment 3275429
Hakuna mtu mwenye ghetto baya
Zingatia hivi vitu
1.USIFUNGE PAZIA NA KAMBA
2.PANGILIA RANGI YA VITU NDANI KWAKO usinune vitu rangi zigzag
3.HAKIKISHA UNAFANYA USAFI, PANGA KILA KITU sehemu YAKE
4.USIWEKE NGUO UKUTANI KAMA ndio KABATI VILE
5.EPUKA MI NDOO MINGI NDANI. NDOO NYINGI ZINAFANYA CHUMBA KIWE STORE
6.USIINGIZE MADEMU /MABWANA tofauti tofauti KWENYE GHETTO LAKO
Kila mtu ana spirit zake unavyo wachanganya humo kila siku ...
Wigos
7 USIPENDE KUWAPA WANA GHETTO WAPIGIE SHOW
8.KAMA NI KIJANA TAFUTA KITU UWEKE GHETTO ILI MGENI AKIJA IWE TOPIC,kumbe una tv , kumbe una PC
9 . FUA SHUKA , FUA PAZIA ,USILAZE MIKOJO NDANI USIVUTE Bangi AU SIGARA NDANI
10.NUNUA AIRFRESH usipulizie PERFUME GHETTO
KING MIDAS a.K.a Tajiri Mkuu wa Matajiri.
Lazima Kuna panya na mende wa kila ainaKwa me ninanvyopenda kula ukiingia geto kwangu unaweza dhani ni ghala la chakula
Haya huwa ni maisha ya mpito, mtu akiwa anajitafuta/ anajikusanyaHuoi?
Ukioa, mtoto atalala wapi
Wageni
Ni kama ukiingia bafuni, labda uwe na mkitambi ndio uanze kuzitafuta baadhi ya mali zakoUkiamka unaziona mali zako zote hapo au sio, jiko, kijiko, sufuria vikombe kitanda makochi TV fridge in a single room...ni sawa
Viko wapi viatu tuchague vilivyo vizuri zaidiHii ni stoo ya vitu.
Anyway kupanga ni kuchagua kama ndio faraja yako
Sawa mkuuHaya huwa ni maisha ya mpito, mtu akiwa anajitafuta/ anajikusanya
View attachment 3275429
Hakuna mtu mwenye ghetto baya
Zingatia hivi vitu
1.Usifunge pazia na kamba
2.Pangilia rangi ya vitu ndani kwako usinune vitu rangi zigzag
3.Hakikisha unafanya usafi, panga kila kitu sehemu yake
4.Usiweke nguo ukutani kama ndio kabati vile
5.Epuka mi ndoo mingi ndani. Ndoo nyingi zinafanya chumba kiwe store
6.Usiingize mademu /mabwana tofauti tofauti kwenye ghetto lako
kila mtu ana spirit zake unavyo wachanganya humo kila siku ...
Wigos
7. Usipende kuwapa wana ghetto wapigie show
8.Kama ni kijana tafuta kitu uweke ghetto ili mgeni akija iwe topic,kumbe una tv , kumbe una pc
9 . Fua shuka , fua pazia ,usilaze mikojo ndani usivute bangi au sigara ndanitende
10.NUNUA AIRFRESH usipulizie PERFUME GHETTO
KING MIDAS a.K.a Tajiri Mkuu wa Matajiri.
Shughuli ilikuwa pevu
Yukoje?mtu wa kawaida