Unaweza kujifunza kitu kupitia mimi

Hapa siamini sana,mazingira ya kijijini uanze mtaji wa shilingi elfu 23, utake na zaidi ya 1M...thubutuuuuuu kwa miezi kadhaa tu, kila mtu angekuwa na pesa bana.

Kama huamini basi mimi na mshukuru mungu niliweza.
Fanya mambo yako kwa kujaribu na siyo kusimuliwa na pia mazingira na aina ya kipato cha familia yenu ndicho kitakufanya uwe wewe hivyo ulivyo na kuamini kipi cha kufanya na ukiwa na sh ngapi.
Jinsi unavyo weza kutatua changamoto zinazo kukwamisha ndiyo hatua moja kuyafikia mafanikio au ndiyo hatua unayo muacha anaye shindwa na asiye amini au kujaribu.
Nakumbu trip yangu ya kwanza nili nunua kuku 6 na niliweza kukua mpka kufikia hapo.
Sasa nimewaajiri wadogo zangu wawili katika kazi zangu na wote ni graduate wa vyuo vikuu ingawa kuelewa nini na wapi natamani kufika wanaelewa taratibu sana.
Na nina jumla ya wafanyakazi 15 kwa sasa ,na mshukuru mungu biashara inakuwa .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…