Unaweza kujiuliza,unasajili mchezaji unamlipa karibia milioni 600 kwa mwaka,unasajili wachezaji wa kimataifa wengi,halafu huwezi kushinda bila uchawi?

Unaweza kujiuliza,unasajili mchezaji unamlipa karibia milioni 600 kwa mwaka,unasajili wachezaji wa kimataifa wengi,halafu huwezi kushinda bila uchawi?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Unaweza kujiuliza,unasajili mchezaji unamlipa karibia milioni 600 kwa mwaka,unasajili wachezaji wa kimataifa wengi,halafu huwezi kushinda bila uchawi?!!

Unaamini uchawi lakini unacheza mechi za kimataifa unashindwa kufunga goli hata moja?

Hivi hii nchi watu wana akili au kamasi?
Unahonga pesa ili ushinde mechi huku umemlipa mapesa mengi mchezaji unayetarajia aoneshe ubora wake!

Kwetu mashabiki,una bet kumbe ni biashara ya wahuni wachache wanaodhamini timu kinyemela ili wapange matokeo wapige hela!

Ndio maana tuna wanawake kama gigi hela akili za kimbwa mbwa lakini ana date na mtu anayeheshimika na watanzania wengi kwa kipaji chake.Na bado gigi na mange ni role models wa wasichana wasomi wengi wa vyuo vikuu!

Una viongozi wa chama cha soka na bodi ya ligi wanasaidia kuifanyia figusu timu isifanye mazoezi kisa wanahisi timu yao itarogwa!

Wanaona mambo magumu wanaahirisha mechi!Kwa nini msitumie kanuni kuwaadhibu wanaovunja kanuni kwa mujibu wa adhabu za kikanuni?Hata kama ni kuishusha timu daraja

Nchi ina waziri wa michezo na mabosi wengi tu,halafu meneja wa uwanja anatumika kuharibu image ya mpira nchini?Kisa mnataka kuridhisha ego zenu?

Mimi nahisi ligi hapa itashuka viwango sana na sakata hili ni lazima timu moja kati ya hizi mbili za karuakoo ushushwe daraja.

Kinyume na hapo huu mpira utakuwa ni uhuni tu kama uhuni mwingine.

Upangaji wa matokeo,timu kufanya umafia tunaouona kwenye chama tawala,halafu bado kuna watu mtaani wanashabikia huu upuuzi ni ishara ya kukosa akili kabisa.


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
ukiaminicho huanzia kwa kukikubali,

Nyani ni wewe, kachukue ndizi kwa mangi nitalipia
 
Nchi hii ukitaka kujua ni tambala bovu angalia ni kiasi gani tunatumia rasilimali zetu kuendesha mfumo wa vyama vingi, kuanzia watendaji wanaokula mabilioni ya pesa za watanzania, taasisi kama tume ya uchaguzi, msajili wa vyama, nk ambazo nazo zina bajeti zake za kutosha. Sasa angalia chaguzi zetu utadhani tumelazimishwa kuzifanya na hapo hapo chaguzi hizo zinatafuna mabilioni ya kutosha.

Aisee. Aliyeturoga alishakufa.
 
Timu ya Yanga na mashabiki zake ndo wanafanya Tz ionekane watu hawana akili
 
Back
Top Bottom