ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wewe at least Ni mzee wa kale kabisa inaonekana umeshiba siku Ni mzee..ila me kinachonishangaza wazungu hawafi Sana yaani bongo Hapa majanga mengi unaweza ukashangaa unakufa unawaacha kina Trump,bush,Obama,jay z,Snoop dog,Mr bean,batista,e.t.cKitu kizuri ni kuwa hamna atakayebaki... Relax mzee kumbuka kuishi maisha
Dunia uwanja wa vitaUkiwaza kuhusu kifo, unakuja kutambua haya maisha muda mwingine hayana maana kabisa.
Kila nikiwaza kifo, jambo linalokuja kichwani ni ku enjoy kila moment..
Kama una kipato kula bata sana as if unakufa kesho, Kama Kuna starehe nyingine ifanye kwa hali ya juu mno ila iwe ya kumpendeza M/mungu
#huwa nawaza kifo mala nyingi sana,
Afu unaweza kukuta tulishakufa na hapa tulipo ndio ahera...Endapo hujakutana na taarifa ya kifo unaweza kukaa siku ngapi usikifikirie kwa namna yoyote hii ishu inayoitwa kifo.mimi hazipiti siku mbili nijitazame na kujiambia hivi Kuna sekunde na dakika na siku inakuja ndo napotea kweli na kwenda kusikojulikana..Ila ikifika weekend nyingi siku zote mbili huwa mawazo ya kufa yanapotea nakula maisha ikifika jumanne kuelekea jumatano ka hofu kanakuja Cha kifo.wakuu huu msala Ni mzito msifikiri kustop heart beat na kuacha kabisa kula wali maharage Ni Jambo zuri.
Kuwa makini usije ukajiua...Mie hofu unijaaga mpaka kuna siku niliumwa nilitoa wosia ila sijafa nipo .q nikiwaza sana hili atapunzi uanza kunibana mpaka mawazo yanitoke ndio napumua vizuri wakati huo sizisikilizii
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Ata wki namalizaEndapo hujakutana na taarifa ya kifo unaweza kukaa siku ngapi usikifikirie kwa namna yoyote hii ishu inayoitwa kifo.mimi hazipiti siku mbili nijitazame na kujiambia hivi Kuna sekunde na dakika na siku inakuja ndo napotea kweli na kwenda kusikojulikana..Ila ikifika weekend nyingi siku zote mbili huwa mawazo ya kufa yanapotea nakula maisha ikifika jumanne kuelekea jumatano ka hofu kanakuja Cha kifo.wakuu huu msala Ni mzito msifikiri kustop heart beat na kuacha kabisa kula wali maharage Ni Jambo zuri.
Napenda sana mada kama hizi.Dunia uwanja wa vita
Kuna mwanaisimu na fasihi anaitwa Euphrais kezilahabi, ana nadharia inaitwa udhanaishi inayoamin maisha hayana maana