Unaweza kukuta kodi na Tozo tunazolipa zinaishia kulipa Mishahara na Posho za Watumishi!

Unaweza kukuta kodi na Tozo tunazolipa zinaishia kulipa Mishahara na Posho za Watumishi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nipo hapa Mwenge nafanya utalii wa ndani kwenye Stendi mpya ya Daladala.

Kwa haraka haraka naona hapa patahitajika mwekezaji wa kumalizia kama ilivyokuwa pale Stendi ya Makumbusho

Ndugu zangu juzi kodi na Tozo tunazolipa zinaishia wapi? We
 
Ni kweli kabisa mkuu
Bajeti ya safari ya shirikia fulani la umma mkoa mmoja hivi wa mpya kanda ya ziwa ni 300 milioni
300m x 30( mikoa) = 9 billion

9B kwa shirika moja tu.
 
Si bora zilipe mshahara utakuta pana report ya CAG kama kawaida na hakuna kinachofanyika zaidi ya kusimamishana kazi na kuongeza tozo ili report ziendelee..
 
Nipo hapa Mwenge nafanya utalii wa ndani kwenye Stendi mpya ya Daladala.

Kea haraka haraka naona hapa patahitajika mwekezaji wa kumalizia kama ilivyokuwa pale Stendi ya Makumbusho

Ndugu zangu juzi kodi na Tozo tunazolipa zinaishia wapi? We
Suala lipo uchi...
 
Back
Top Bottom