J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 14, 2022 #1 Nipo hapa Mwenge nafanya utalii wa ndani kwenye Stendi mpya ya Daladala. Kwa haraka haraka naona hapa patahitajika mwekezaji wa kumalizia kama ilivyokuwa pale Stendi ya Makumbusho Ndugu zangu juzi kodi na Tozo tunazolipa zinaishia wapi? We
Nipo hapa Mwenge nafanya utalii wa ndani kwenye Stendi mpya ya Daladala. Kwa haraka haraka naona hapa patahitajika mwekezaji wa kumalizia kama ilivyokuwa pale Stendi ya Makumbusho Ndugu zangu juzi kodi na Tozo tunazolipa zinaishia wapi? We
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jul 14, 2022 #2 Ni kweli kabisa mkuu Bajeti ya safari ya shirikia fulani la umma mkoa mmoja hivi wa mpya kanda ya ziwa ni 300 milioni 300m x 30( mikoa) = 9 billion 9B kwa shirika moja tu.
Ni kweli kabisa mkuu Bajeti ya safari ya shirikia fulani la umma mkoa mmoja hivi wa mpya kanda ya ziwa ni 300 milioni 300m x 30( mikoa) = 9 billion 9B kwa shirika moja tu.
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,944 Reaction score 2,283 Jul 14, 2022 #3 kwahio watu wasilipwe mishahara au una maana gani ?
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Jul 14, 2022 #4 Si bora zilipe mshahara utakuta pana report ya CAG kama kawaida na hakuna kinachofanyika zaidi ya kusimamishana kazi na kuongeza tozo ili report ziendelee..
Si bora zilipe mshahara utakuta pana report ya CAG kama kawaida na hakuna kinachofanyika zaidi ya kusimamishana kazi na kuongeza tozo ili report ziendelee..
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Jul 14, 2022 #5 Na kulipa mikopo ya chanjo hewa za Covid19
VMWare-Oracle JF-Expert Member Joined Dec 19, 2021 Posts 667 Reaction score 917 Jul 14, 2022 #6 johnthebaptist said: Nipo hapa Mwenge nafanya utalii wa ndani kwenye Stendi mpya ya Daladala. Kea haraka haraka naona hapa patahitajika mwekezaji wa kumalizia kama ilivyokuwa pale Stendi ya Makumbusho Ndugu zangu juzi kodi na Tozo tunazolipa zinaishia wapi? We Click to expand... Suala lipo uchi...
johnthebaptist said: Nipo hapa Mwenge nafanya utalii wa ndani kwenye Stendi mpya ya Daladala. Kea haraka haraka naona hapa patahitajika mwekezaji wa kumalizia kama ilivyokuwa pale Stendi ya Makumbusho Ndugu zangu juzi kodi na Tozo tunazolipa zinaishia wapi? We Click to expand... Suala lipo uchi...