Unaweza kulala nje kisa mshikaji wako kaingiza demu gheto?

Unaweza kulala nje kisa mshikaji wako kaingiza demu gheto?

KatetiMQ

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2022
Posts
249
Reaction score
506
Kuna mambo yanafurahisha na kusikitisha kwa pamoja Kuna vitu havikwepeki hasa suala mbususu Yani utajizuia lakini kwa mwanaume ngumu pamoja na ugumu huo na tunaweza kumudu kufanya starehe ya namna hiyo kwenye mazingira magumu watoto wa mjini wanasema poa tu hiki ndicho kilichomkuta kijana huyu je Kama ingelikuwa ni wewe unaweza kusikilizia milio mkiwa ghetto moja MSHIKAJI wako na demu wake
1711968881156.jpg
 
Kama nyumba kajenga yeye, au avizie nikiwa sipo, au kama nikiwa sina mpango na ghetto, apo fine🤝
 
siruhusu huo upuuzi. Iliwahi nitokea sipo nikaja gundua ushikaji ukaingia dosari.
 
Watoto wa mama ambao hawajawahi kuishi beach na kwenye magheto ndio wanashangaa hili,tulioishi beach hiki ni kitu cha kawaida kabisa,baharia kuja na demu ghetto na wote tunazimika humo humo ,wale wa Langa nyosheni mikono juu mhesabiwe
 
Kwani lodge zote zitakuwa zimejaa mpaka aingize demu ghetto kwa mshikaji?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu umenikumbusha mbali aisee pale hall 5 tulikuwa tumetoka kufungua chuo sasa jamaa akaja na kidem chake sijui kakitoa wapi huko na alifika usiku sisi tumelala. Yule mwamba alipiga show huku sisi tumekausha kama hatujui kinachoendelea na kulipokucha jamaa akaamsha nacho dah! We jamaa popote ulipo nakupa salute mkuu ulitunyoosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom