Unaweza kulipia road licence ya gari kidogokidogo

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,937
Reaction score
781
Nimesikia hiyo kwa baadhi ya wadau kuwa unaweza ukalipia road licence kwa instalment yaani lile deni likikamilika ndio unaenda TRA kuchukua stiker ya kubandika kwenye chombo, mwenye kuelewa kuhusu hili atujuze.
 
Utaliwa Mkuu sidhani kama system yao wameisave hivyo... what i know ukienda pale TRA kitengo husika wanaweza kukupa maelezo zaidi... Ukiona una hali mbaya kifedha kaifunge account yako kwa Muda ila isiwe na deni and then ukiwa na hali nzuri unaenda kuifungulia... la sivyo deni litazidi kuongezeka kila mwaka...
 
Unalipia kupitia max malipo kama unadaiwa laki Na sabini ukilipa awamu tatu ile hela inakwenda kwenye system yao moja kwa moja end of the day unapeleka zile risiti tatu zenye jumla ya laki Na sabini wanakupa sticker na deni linakuwa limeisha
 
Hii ndo naisikia leo!!
 
Nimesikia hiyo kwa baadhi ya wadau kuwa unaweza ukalipia road licence kwa instalment yaani lile deni likikamilika ndio unaenda TRA kuchukua stiker ya kubandika kwenye chombo, mwenye kuelewa kuhusu hili atujuze.

Sasa ina maana gari hautaendesha bila sticker?

Kwanini usipewe sticker na unatengeneza direct debit au standing order ya miezi mitatu au sita au 12 na TRA moja kwa moja bila kutumia kampuni ingine?
 
Unakuwa unatembea na risiti
 
Back
Top Bottom