Unalipia kupitia max malipo kama unadaiwa laki Na sabini ukilipa awamu tatu ile hela inakwenda kwenye system yao moja kwa moja end of the day unapeleka zile risiti tatu zenye jumla ya laki Na sabini wanakupa sticker na deni linakuwa limeisha
Nimesikia hiyo kwa baadhi ya wadau kuwa unaweza ukalipia road licence kwa instalment yaani lile deni likikamilika ndio unaenda TRA kuchukua stiker ya kubandika kwenye chombo, mwenye kuelewa kuhusu hili atujuze.