Unaweza kumgundua msichana aliye loose virginity soon.

Estyzo

Senior Member
Joined
Jul 24, 2011
Posts
158
Reaction score
39
Habar gan wana jf? Nina gf wangu ambaye npo naye foq 1yr na kuhsu mapenzi anadai mpaka amalze ckul koz akianza watamgundua zaid ya hapo anadai wanapopelekwa kupima manesi huwa wanamsifia kwa kujitunza so akianza watamgundua jamani hii ni kwel au anapoteza muda wangu.
Naomba ushauri wenu.

kwani wewe mwenyewe hujawahi kupima oil kujua kama lisemwalo lipo?.

Hata kama anaona aibu kuchojo, hiyo haikupi uhakika kama binti ni bikra...labda kama ulikuwa ukimfahamu kabla alikuwa akitembeaje< pengine kitaalamu aliyepoteza bikra anatembea kwa kutanua miguu kidogo..

Mtizame kwenye visigino ukiona vipo round mfano wa yai ujue bado machine ipo intact ukiona flat ujue hamna kitu mkuu.

Mtizame kwenye visigino ukiona vipo round mfano wa yai ujue bado machine ipo intact ukiona flat ujue hamna kitu mkuu.

hii kali, mi visigino vyangu havipo round wala flat. hapa inakuaje?

Babaaaa unaibiwa erooo

Achana na watoto wa shule muzee,wala hata uchumba acha kabisa kuharibu maisha yao

da kupima oil nazani itakuwa ishu mpaka sasa nafikiria ku end relation cause tar 17 natarajia kwenda chuo (UDOM) na masharti magumu mala ndoa mala shule mala anataka aone nitakavyo mvumilia mpaka naona kero kumeet naye.

Kuna manesi waliniambia kuanzia miaka 90 kuja 2011 Watoto karibu wote waliozaliwa hawakukutwa na Bikra sasa sijui ni nani huwa anawatoa humo matumboni mwa Mama zao!

Hebu tuambie huyo wako kazaliwa Mwaka gani na utapata Jibu mwenyewe....

Kama unampenda naye anakupenda mwamini na uzidi kumpenda usitake kumuonja. kwa nini sio wavumilivu nyie wanaume kha eti utajuaje kuwa ni bikra. kha na wewe ataku8juaje kuwa ni mwanaume unayezalisha.:tea:

Mmh we kweli raisi wa pemba,

Wewe hauoni huyo ni mtoto wa shule? kwani lazima huyo? kaoe upate nafasi kuchunguza vizuri kwa uhuru wako nawamkeo pia

lol! Hiyo inatokea kwa wale ambao wakati mama zao wana kitumbo walikuwa wanaendelea ku-Do. Mambo dabodabo! 🙂

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…