Unaweza kumgundua msichana aliye loose virginity soon.

hii kali, mi visigino vyangu havipo round wala flat. hapa inakuaje?

Shossi amesema kama visigino vyako cyo round basi bikra yako haipo. Bac ww ushatobolewa ati!!!:clap2:

Kuhusu kujua kama msichana amepoteza ubikira karibuni, njia ya uhakika ni kumuuliza yeye mwenyewe...:roll:

0
Ushaibiwa wewe,ukifika muda atakusaliti vizuri

Kuwa mjanja na tumia akili nyingi kwenye mapenzi la sivyo utalizwa na huduma zako unazotoa...

Basi wewe ujue hiyo bikra IPO HAIPO.

<br / Daah kaazi kweli yan nimecheka sana mpaka nimeonekana chizi hapa ki2on nasubir daladala.

Kaka kila {ndio} haimaanishi kukubali kwani ndio nyingine niza shingo upande.Nakila hapana kaka haimaanishi hivyooo! Akili kumkichwa.

Unataka kufanya nini na taarifa utakazopata HAPA?

Nakushauri endelea na unachaamini kuhusu mahusiano ... Bila kujali taarifa utakayopata...

Ushauri wangu? Kuwa karibu naye ... Mlinde na kumsimia hadi amalize shule ... !!

Wewe! amlinde kwani jamaa hanamambo yaku fanya?.badala yaku mshauri vitu vya msingi wewe una mwongezea kazi!.au hujui ulinzi ni kazi?.

kwani we bikra unayo?

Mimi navyofahamu, msichana mwenye bikira huwa haombi hela. Ziwe za graduation au rays

Ni rahisi kunguadua jambo la kuchunguza ni pale anakojoa kama ni bikira mara nyingi akikojoa mkojo hupiga kelele kama ukisikiliza kwa umakini yaani unalia chwaaa! Na mara unatoka kwa nguvu ana anakuwa na uwezo wa kurusha mbali sana hiyo ina apply hata kwa mwanaume. Kama hana huwa ni kimya. Pili ukimsogelea anakuwa mwoga sana na ngozi yake husisimka isivyo kawaida yaani inakuwa kama ya kuku aliyotolewa manyoya.

Heee! Haya tena makubwa, huu utaalamu uliupata wapi weye! Lol.

we huogopi jela hebu kaache kabint kasome bwana, wakubwa wenzio huwaoni?

hii iko je mkuu? fafanua

Unajua visigino vya mtoto mchanga vinavyokuwa? sasa umbo linalofanana na visigino vya mtoto changa vinakarinia kushabihiana na umbo la msichana mwenye bikira ikiraruriwa tu visigino vinakuwa flat.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…