Unaweza kumiliki bar bila kuwa mnywaji wa bia

Unaweza kumiliki bar bila kuwa mnywaji wa bia

victor2015

Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
53
Reaction score
8
Habari wana JF nimekuwa naendesha biashara ya Bar muda Mrefu na nimekuwa mnywaji wa bia sana sasa kila nikilewa napata matatizo ninapofika Nyumbani na kila ninapotafakari matatizo ninayoyapata yote yanatokana na pombe. Sasa ninataka kufanya maamuzi wa kuacha pombe ili ninusuru mifarakano kwenye familia yangu. Naomba ushauri nini cha kufanya ili niokoe kotekote yaani biashara isiyumbe na mambo ya familia yaende salama.
 
Kwanini ushindwe? Kwani hujawahi kumuona vegetarian anaemiliki bucha la nyama ya ng'ombe? Au mmiliki wa danguro ambaye ni bikra? Mpishi asiekula anachopika?
 
Back
Top Bottom