Habari wana JF nimekuwa naendesha biashara ya Bar muda Mrefu na nimekuwa mnywaji wa bia sana sasa kila nikilewa napata matatizo ninapofika Nyumbani na kila ninapotafakari matatizo ninayoyapata yote yanatokana na pombe. Sasa ninataka kufanya maamuzi wa kuacha pombe ili ninusuru mifarakano kwenye familia yangu. Naomba ushauri nini cha kufanya ili niokoe kotekote yaani biashara isiyumbe na mambo ya familia yaende salama.