Ni rahisi. Wanaume wenye 'gene' ya DRD4 wamegundulika wanatabia za kucheat, uncommited sex na uhuni wote.
So, wadada, chukua kitu chochote cha mwanaume wako kama mswaki, kitana, (ambavyo ashatumia) sperm au chochote wanakoweza kutoa DNA zake, peleka maabara, then utajua kuwa mkioana utakuwa wmenyewe au la. Na kama mshaoana utajua kama uko mwenyewe au mpo kadhaa...
mm nahisi kuna vitu vingi vya muhimu kuvipima kuliko hicho, mfano watu wengi wamebambikiziwa watoto na wangine wamedhulumiwa kids, je hili halitasaidia kuwaweka waathirika huru.