Unaweza kumruhusu rafiki yako kuwa huru na simu yako?

Kushika simu so kazi umesahau kuuliza kuhusu password kupewa apo kawron
 
Nimwjitahidi kumruhusu awe huru ila mara nyingi naonaga inamtibuaga na anaishia kufuta contact za watu wangu hata bila kuni consent .
 
Me sijawahi mwamini rafiki hata awe rafiki wa karibu kiasi gani simu yangu hagusi
 
rafiki yangu sawa atashika though kuna sehemu hawezi kuingia sababu ya security.. ila simu anashika fresh...na zao pia nashika kiroho safi

lakini mpenzi wangu simu yangu haimuhusu kabisaaaaa na mimi ya kwake pia naiogopa kama ukoma
Wewe ni kinyume changu hahahahahahahahahah... Mm rafiki simu yangu hagusi kabisa ila mume anaweza akashinda nayo kutwa nzima na mm naweza shinda na ya kwake the whole day
 
Wewe ni kinyume changu hahahahahahahahahah... Mm rafiki simu yangu hagusi kabisa ila mume anaweza akashinda nayo kutwa nzima na mm naweza shinda na ya kwake the whole day
aaaaah kwa mapenzi ya siku hizi unaweza kujikuta unaharibu amani yote mliyonayo kisa simu... sasa suluhisho ni kila mtu akae na simu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…