Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia ya leo hakuna kitu kinachoitwa Mapenzi ya Dhati.. Ndio kama aliyenitangulia alivyosema.. Acha kupoteza muda kwa mambo ya mapenzi. Ww unampenda kwa Dhati.. Lakini yeye hakupendi kihivyo. Yani mapenzi leo.. utaumia moyo tu. Kuna mfanyakazi wangu mmoja anaenda kwa msiba ndugu yake amejinyonga sababu ya mapenzi. Ni kijana aliachwa na mpenzi wake.. Inasikitisha jinsi watu mnavyoingia deep hivyo na mioyo yenu mnaiwekeza huko. Wengine tumeshajua hilo.. na hatuweki camp kwa mambo ya mapenzi. Tuna-focus kwa maendeleo. Na mambo yanaenda powa sana.
Unachochea uzizi kwa kumpotosha mwenzioTumesisitiza sana humu kuwa wanaume jipendeni kwanza ninyi.Halafu pia kuwa na wanawake 4 hutaumia na haya makitu.
Sawa kabisa. Na ukifikiria kupambania kitu ambacho ni bahati nasibu sio sawa sana kwa sababu siku hizi kupata mtu sahihi imekuwa bahati nasibu.. Na ni kweli kwamba ni wachache sana wanapata hio bahati. Kutumia muda mwingi kwenye mapenzi ni kupoteza muda.. Labda kama malengo mengine ya maisha na ya maendeleo umeshayatimiza. Sasa bora nipambanie kazi zangu sababu binafsi hazijawahi kuniangusha hata mara moja. Ila mapenzi nimejaribu mara nyingi na yamekuwa yananiangusha tu. No need.Mapenzi ya dhati yapo sema wanaobahatika kuyapata ni wachache
Sawa kabisa. Na ukifikiria kupambania kitu ambacho ni bahati nasibu sio sawa sana kwa sababu siku hizi kupata mtu sahihi imekuwa bahati nasibu.. Na ni kweli kwamba ni wachache sana wanapata hio bahati. Kutumia muda mwingi kwenye mapenzi ni kupoteza muda.. Labda kama malengo mengine ya maisha na ya maendeleo umeshayatimiza. Sasa bora nipambanie kazi zangu sababu binafsi hazijawahi kuniangusha hata mara moja. Ila mapenzi nimejaribu mara nyingi na yamekuwa yananiangusha tu. No need.
Hao wachache kina nani, acha kuwasemea watu jiulize je ww unae uyo mpenzi wa dhati au uneshawai kupitia mapenzi ya dhatiMapenzi ya dhati yapo sema wanaobahatika kuyapata ni wachache