kwanza hawajafunga ndoa huyu dada wa nje anakuwaje nyumba ndogo maana mi sioni nyumba kubwa hapo na huyo dada aliamua kuishi na huyo kaka kabla ya ndoa kwa misingi ipi?saa zingine tunatafatuga matatizo wenyewe umeenda kuziba riziki zako kwa kuishi na lijitu lisilojua thamani ya penzi lako bila ndoa kwanini

kwa hiyo unajaribu kusema hauruhusiwi kuishi na mwanaume kabla ya ndoa???
hamna mtu anakatazwa lakini mnaishi kwa mikataba ipi ivi una kijibwana tu huko unahamisha vimizigo vyako kwake halafu akikuchakachua unasema ana nyumba ndogo sijawahi ona mimi bado lazima ifike wakati wana mama tusishushe thamani zetu unajuaje kama ana mpango wa kukuoa wewe au yupo kwenye mchakato halafu unaamua kuwa kupe kabisa embu nikuulize swali kabla ya kuolewa huwa tunakuwa na mahusiano na watu wangapi je tungehamia kwao ingekuaje kila siku tungehamisha nguo siyo hamna nyumba ndogo hapo jamaa bado yupo kwenye operation kata umeme finito
mi nimekuelewa lakini bado sikubaliani nawe kabisa..... kwani ni wanawake tu ndo wanahamiaga kwa wanume ....mbona wanume wengi tu wahamiaga kwa wanawake .kutokana na maelewano yenu..... na mimi ninavyoona ni borea mtu amchague jamaa yake mmoja aishi nae.... ali wafahamiane vizuri kutoka juu mapaka chini.... na kama vitu haviendi sawa hapo ndo unakaa chini unatafakari... kuliko kutanga na njia kila upande...
Unaruhusiwa bwana
inawezekana kumwacha mtu unayempenda! its just to let it go...it takes time but yes. she will overcome.....Jamani mie nauliza nipate kufahamu kuna rafiki yangu anaishi na mwanaume (hawajafunga ndoa) Jana kanipigia simu kuwa huyo jamaa kapata nyumba ndogo na anamwambia kuwa waachane lakini mdada bado anampenda sana jamaa. Swali ni kuwa anashindwa kumuacha sababu anampenda sana jamaa anashindwa afanyeje? Mie nikaona leo niilete hapa. Mbaya zaidi jamaa amebadilika sana. Tumshauri Wakuu
Umemaliza sitii neno
huyo mwanamke ashukuru kwa kuambiwa ukweli,na afungashe mizigo yake mapema,atakuja kupata mwengine,ingawa kuachwa inauma asikwambie mtu.maisha popote jamani atazoea tu
mi nimekuelewa lakini bado sikubaliani nawe kabisa..... kwani ni wanawake tu ndo wanahamiaga kwa wanume ....mbona wanume wengi tu wahamiaga kwa wanawake .kutokana na maelewano yenu..... na mimi ninavyoona ni borea mtu amchague jamaa yake mmoja aishi nae.... ali wafahamiane vizuri kutoka juu mapaka chini hiyo ni kabla ya ndoa..kwa sababu hutaki kujiingiza kwenye commitment za ndoa kwa mtu ambeye humfahamu na humjui vizuri .. na kama vitu haviendi sawa hapo ndo unakaa chini unatafakari na kupanga mipango mingine ya maisha ... kuliko kutanga na njia kila upande...
basi usiite nyumba ndogo au tafsiri ya hii misemo huwa inakuje mpo kwenye kuchunguzana na jamaa kacheat so anaonekana sio muaminifu pigia mstari hapo halafu unataka kusema kuishi pamoja kabla ya ndoa kuna kupa nafasi ya kufahamiana vema kwangu ni BIG NOO hembu elezea kumjua wapi labda harufu yake vizuri au unaweka alama kengele na ikirudi unakagua