Unaweza kumuacha umpendae?

bahati wewe unaidefine vipi ukiwa wa thamani na watu wanakuheshimu sio kila upepo unaopita na wewe unavuma nao tu puuu tunahitaji wakati mwingine kutumia akili zetu zaidi kuliko mihemko ya miili yetu hao viumbe wameshatujua ndo maana wanatuchezea left and right na sisi tunaunga mkono hayo, kwenye maisha kila mtu kaandikiwa fungu lake na lazima ushukuru lile unalopewa hata siku moja usidhani kwa kumganda mtu na kuhamia kwake mdo utapata ndoa yaweza kuwa mume/mkeo ni mwingine kabisa sasa ukianza hayo ya kungangana ndo unaanza kuchuma balaa na kuja kuchomana visu vya visogo anyway kila la heri kila mtu analo analoamini kwenye maisha

basi we ni kati ya wale wenye bahati .......
wengine hapa mpaka tuishi na mwaume tumjue vizuri ndo tuendelee mbele...
ni wachahe wenye bahati ambao wanakutana na wanaume zao wa ndoa in a first or second go...
 

mimi na boyfriend wangu tuliishi pamoja kwa muda wa miaka 3.. natulikuwa tuaishi pamoja kwenye nyumba moja..
na yeye ndo alihamia kwangu na mimi hii ni nyumba yangu nimeinunua mweyewe na hayo maneno yako ya kugandia sijui umeyatoa wapi....kwanini sijui unapenda kujiweka chini kiasi hicho..... ( sisi hatujaweza kuoana kwa sababu ya matatizo ya kifamilia ambayo siwezi sema hapa) hayo maneno yako mengine sijui unatoleaga wapi kwa kweli ... na saa nyingine kama huja experience kitu ni borea to keep some of your opinion to a minimum ...
 

Dada wewe ndio yule waishi na mkongomani du, mpenzi huyo mwanaume anaishi kwa amani na wewe kwa sababu uko kwenye nyumba yako na c nyumba tu kuna vitu unampatia so anaishi kibwerere hapo hawez kuleta matata kwa kifupi umepata mariooooo. Mwanaume kamili hawez hamia kwenye nyumba ya mwanamke halafu hata hawajaoana hata hayo matatizo ya kifamilia yanayosababisha mpaka sasa msioane ni kwamba wanafamilia wanaona kabisa ni big no kwa mbaba na madevu yake kuhamia kwa mwanamke
 
Habariii yako Maty...:bump:
 

Upooooooooo?!!!!
 
Ikulu ndogo au?

Ikulu kubwa wadada wanakatazwa kubeba visambusa vyao na kuhamia kwa wakaka wawe na msimamo mtu kama hakupangwa kuwa wako hawez kuwa matokeo yake ndio hayo mungu anamletea aliempangia unashindwa utaondokaje kwani we ulishazani kuhamia ndio ndoa. Sasa cha kusikitisha zaidi mkaka anabeba madevu yake na boxer yake anahamia kwa mdada, hii haiingii akilini wakina kaka mkomae hata kama una chumba kimoja mdada kama kakupenda hawez jali wewe ni kichwa na kichwa ni kichwa tu kiwe na mabonde, kiwe na na maporomoko kitabakia kua kichwa tu
 


usiwe mrahisi kujaji watu kihasi hicho.......
hata yeye ana nyumba yake ... lakini tumeamua kupangisha ili mi na ye tuishi wote kwenye nyumba yangu...
yeye anapokea mshahara wake na mi napokea wakwangu .... na wote tuna biashara pamoja...
mwanamke akiamia kwa mwanaume mnasema kinganganizii na mwanamme akiamia kwa mwanamke mnasema marioo...
saa nyingine ni bora muangalie maisha yenu kabla hamja ya jaji ya wengine...
sisi tunaraha na amani sana .... kwa hiyo fikiria kabla hujasema
 


Huyo mumeo cjui bwana wako ni mzaifu mama haiingii akilini mbaba apangishe nyumba yake halafu aamie kwako tena hamjafunga ndoa hapo labda mlitakiwa mpangishe zote muende mkapange halafu muanze kujenga kibanda kingine cha wote wewe unasumaku kubwa unamvuta sana kiufupi unampelekesha hebu fikiria kama tunavyosema wanaume ni necha yao kufanya infi, au saa nyingine anarudi ucku wa manane katoka kupare na marafiki hivi wanawake c tulivyo utamruhusu kweli c ndio utaanza kumwambia kama vipi hama hapa kwangu lakini ikiwa ni kwake utamfungulia kwa utanununa kidogo kisha maisha yanaendelea
 

Hapa nimekupata KUJIAMINI TUNAWEZA
 


sisi tuna biashara za Real Estate .... kwa hiyo mambo ya nyumba haya tutishi kabisa.....
labda huko kwenu wanaume ndo wanatokaga wenyewe ....
lakini huku mi napoishi kila mwanaume akitoka yupo na girlfriend wake...
kama we umezoea kumkemea mumeo kila akirudi usiku wa manane basi hiyo ni wee...
na kila mwanamke si kama wewe.... na huku wanaume wetu waki have boys night out na sii huwaga tuna girls nite out
tatizo liko wapi????
 
mh kweli wewe ni Afrodenzi yewooo

 


Unaona sasa matokeo yahapo kwenye bold................ndo washafahamiana ivo...............jamaa kavuta kitu kipya!
 

Chauro kuhamia kwa mtu ni MAKUBALIANO....hakuna kuhamia kwa mtu kama hajapenda yeye mwenyewe!..manake unaiweka kama ni mtu kalazimishia vile??
na mwanaume akiamua kukubwaga anakubwaga,haijalishi unaishi naye ama bado unaishi na wazazi...
 

dont be bothered much na wanayosema,ukamwaga na siri zako buree hapa...
tumelelewa tofauti na backgrounds/upbringing zetu..zinatufanya tuwe na uelewa tofauti....
kama kuishi na mwanaume hata mie sioni ni ishi....been there done that mwayego!
so some of us totally understand you!:embarrassed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…