Chauro kuhamia kwa mtu ni MAKUBALIANO....hakuna kuhamia kwa mtu kama hajapenda yeye mwenyewe!..manake unaiweka kama ni mtu kalazimishia vile??
na mwanaume akiamua kukubwaga anakubwaga,haijalishi unaishi naye ama bado unaishi na wazazi...
sisi tuna biashara za Real Estate .... kwa hiyo mambo ya nyumba haya tutishi kabisa.....
labda huko kwenu wanaume ndo wanatokaga wenyewe ....
lakini huku mi napoishi kila mwanaume akitoka yupo na girlfriend wake...
kama we umezoea kumkemea mumeo kila akirudi usiku wa manane basi hiyo ni wee...
na kila mwanamke si kama wewe.... na huku wanaume wetu waki have boys night out na sii huwaga tuna girls nite out
tatizo liko wapi????
Ulikuwa wapi aisee. KWELI TUPU KABISA. THANKS
Unaona sasa ushaanza na kututangazia na biashara zako ufanyazo, heheheeee huyo bwana ako anakazi mimi nimekuchalange kidogo tu unaanza kujisifia na kukana uraia wako unauliza eti labda huko kwenu wewe kwenu wapi je ikianza kero za hawa waume/bf zetu waweza himili kweli wewe nina mashaka ndio maana uliamua akae kwako. sometimes mbaba ataka uhuru ati aende akabadilishe mboga lol (mtanisamehe mwe) Nyinyi ndio wale mume wangu/mke wangu anafanya kazi zain so inabidi za hiz............................................ kwi kwi kwi
Ulikuwa wapi aisee. KWELI TUPU KABISA. THANKS
Dena unajidanganya mpenzi roselyn amesema kuhamia kwa mtu ni makubaliano sawa hata kama ni makubaliano mtu mpaka anaamua uhamie kwako c inamaana anataka huduma yako kwa ukaribu? so kwa nini msihalalishe tatizo liko wapi mpaka uhamie tu mzima mzima wanawake tubadilike tufunguke macho sa kwa mtindo huu bado hujaolewa utahamia kwa wangapi mpaka umpate mungu aliekupangia
mi nafikiri hamjanielewa nachosema ni kwamba kuhamia kwa mwenzako kabla ya ndoa uwe mwanaume au mwanamke mi sikubaliani nalo inaweza ikawa ni makubaliano yenu sawa lakini ukipata matatizo kama hayo DENA anayoelezea usilalamike mi naamini hiyo haiwezi kukuhakishia ndoa kila mtu bado ana muda wa kupima na kuangalia unaweza usiwe peke yako sasa kwanini ukajifunge kwa mtu ambaye hajafanya maamuzi au bado ana nafasi ya kupembua nakuamua kusuka au kunyoa huoni unajizibia riziki nyingine tusijidanganye eti utamjua mtu kabla hamjaoana kwa kuishi wote
Maelewano ndo kitu cha msingi hapa. Ndoa si kuvaa pete au kwenda kanisani au msikitini ni UPENDO TOKA MOYONI. Na si kuwaonyesha watu kuwa mnapendana kwa kwenda kusherekea kuwa tumeoana then baada ya muda ndoa inavunjika eti tu kwa sababu unataka na wewe uonekane kuwa umefunga ndoa mmmhhhh hapana.
ok mi ntakuacha uwendelee kusema unalotaka kusema
mi sinto kujibu tena ....
unachosema sikielewi na wala hakiniingiii
borea nikuache uendelee kupiga domo...
have funny :smiling:
Hicho ndicho kinachoniingizaga JF just to have funny lol
Twende chumbani watoto watasikia hapa we vipi inbox yako huwa husomi???
Tatizo ninaloliona hapani matumizi na yeno "anampenda" na kisha tena "kumwacha"...kwa kutumia akili ya kawaida, kama anampenda, hataweza kumwacha....ni hilo tu
Tatizo ninaloliona hapani matumizi na yeno "anampenda" na kisha tena "kumwacha"...kwa kutumia akili ya kawaida, kama anampenda, hataweza kumwacha....ni hilo tu
Kweli kumuacha itachukua muda sana ila ndio hivyo mtu kashamwambia hamtaki hana la kufanya hapo zaidi ya kujitahidi kumsahau tu na hilo linawezekana ila du maumivu yake ucpime ila ndio maisha na lazima yaendelee.
Maty mambo.....Mbona unawapa watu banned? 😛ainkiller:Kweli kumuacha itachukua muda sana ila ndio hivyo mtu kashamwambia hamtaki hana la kufanya hapo zaidi ya kujitahidi kumsahau tu na hilo linawezekana ila du maumivu yake ucpime ila ndio maisha na lazima yaendelee.