Unaweza kunipa kama Mke wangu?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club. Changudoa akamsogelea na kumwuliza,
"Unataka mambo yetu?"
Jamaa akamwambia, "Ndio. Lakini, unaweza kunipa kama mke wangu?"
Changudoa akamjibu, "Hapa usipime. Mimi noma .... Ntakupa mpaka mkeo usimkumbuke! Kwani huyo mkeo anakupaje?"
Jamaa akamjibu, "Mke wangu ananipa bure." Changudoa, "Nyoo! Fisadi wa biashara za wenzio ..
 
Dah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu nakushukuru cku yangu imeanza kwa kicheko
 
Biashara ya machangudoa haitaisha kamwe kwa kuwa wanunuzi wapo kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…