OGOPA SANA acha uoga kwanza maana hata Avatar yako inakueleza ulivyo.Biashara ni nyingi sana rafiki yangu muhimu ni nidhamu ya kutunza hesabu tuu!!
Habari wadau,
Eti biashara gani halali (kwa kuorodhesha zote unazojua) zinaweza kuingiza kipato cha TSH 1,000,000.00 kwa mwezi hapa nchini? na kwa kila biashara inahitaji mtaji wa kiasi gani na mazingira/ vigezo gani kuzingatia?
With thanks in advance.
Mkuu vipi kuhusu Service ya Gari na kununua spea likiaanza kuharibika.. kwahiyo sio 2m net itabidi utoe na costs nyingine..Jaribu dala dala, ukiagiza Japan used litakula kama 25m hadi 28m hivi kisha unaingiza 70,000 kwa siku ambayo ni kama milioni 2 kwa mwezi