Unaweza kununua saa ya bei usd $ 20,000,000 kupitia mtandaoni?

Unaweza kununua saa ya bei usd $ 20,000,000 kupitia mtandaoni?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
wakati natafuta saa ya kuagiza mtandaoni kupitia ebay nikakuta saa ya hii bei.

ikabidi nitafute feedback zake huyu muuzaji kama ni tapeli lakini inaonyesha yupo vizuri
IMG_2023.jpg

IMG_2022.jpg


hii ndio feeback
View attachment 1997031
 
Feedback haifunguki...

Lakini hakuna saa ya dola milioni 20 dunia hii.
 
Hakuna saa ya CASIO ya $20M, ila saa za Bei hiyo zipo Kama kina pattek Philippe, richardmille n.k
Hata hizo pattek na richard Mille hamna za m20 usd ,the most expensive richard Mille nadhani ni m1 usd anayo Jay z if am not mistaken.
 
Mi sinunui, iwe mtandaoni iwe dukani au kwa machinga sinunui kwa sasa.

Labda ikifikia hatua nimekuwa na pesa mingi, nimeikopesha serikali na serikali imeendelea na wananchi woooote duniani hadi hela nikitaka kuwekeza wanasema 'tuachie na sisi tuwekezage tuone ilivyo raha ya kuwekeza, we unawekeza kila sehemu bhanaa!?' ndo sasa ntanunua hiyo saa
 
Kitu kama Saa hata ukinunua ya gharama kubwa hiyo tatizo hata ukiishiwa kuiuza ni kimbembe.

Afadhali hata kununua Simu utauza hata kwa hela ndogo lakini utapata Mnunuzi kwa haraka.
 
hakuna saa ya bei hiyo mkuu kama ikizid sana labda kama alivyosema jamaa hapo usd $ m1
 
Back
Top Bottom