Inawezekana huyo muuzaji anatafiti iQ za watu flani mitandaoni !wakati natafuta saa ya kuagiza mtandaoni kupitia ebay nikakuta saa ya hii bei.
ikabidi nitafute feedback zake huyu muuzaji kama ni tapeli lakini inaonyesha yupo vizuri
View attachment 1997028
View attachment 1997029
hii ndio feeback
View attachment 1997031
Hata hizo pattek na richard Mille hamna za m20 usd ,the most expensive richard Mille nadhani ni m1 usd anayo Jay z if am not mistaken.Hakuna saa ya CASIO ya $20M, ila saa za Bei hiyo zipo Kama kina pattek Philippe, richardmille n.k
Mkuu haiwezekani aisee au kuna error, yani zaa hiyo karibu billion 46 za kitz? No way sio kwa casio ya mama koku 🤣wakati natafuta saa ya kuagiza mtandaoni kupitia ebay nikakuta saa ya hii bei.
ikabidi nitafute feedback zake huyu muuzaji kama ni tapeli lakini inaonyesha yupo vizuri
View attachment 1997028
View attachment 1997029
hii ndio feeback
View attachment 1997031
Imevuka hata ile rekodi ya gharama ya tiba ya Ndugai 🙄wakati natafuta saa ya kuagiza mtandaoni kupitia ebay nikakuta saa ya hii bei.
ikabidi nitafute feedback zake huyu muuzaji kama ni tapeli lakini inaonyesha yupo vizuri
View attachment 1997028
View attachment 1997029
hii ndio feeback
View attachment 1997031