Unaweza kuolewa/kuoa tena Na Mume/Mke wako kwenye Maisha Mengine.

Kamulimuli

Member
Joined
Mar 25, 2023
Posts
71
Reaction score
89
Kwa walioko kwenye ndoa na walio wahi kuwa kwenye Ndoa..Ikitokea Muda ukarudi nyuma..au kukawa na Maisha mengine baada ya haya.Je utakubali kuolewa/kumuoa tena huyo mwenzi wako?
 
Napita tu
Kuboresha ndoa kila mtu awe na chumba chake kupeana space
Hizi mambo za kujambiana 24/366 sijui mnaonaje wenzangu
Yaani mtu anakujua anakujua hadi harufu ya kijambo
Tupeane space .tunabanana mno hadi tunachokana
🤣🤣🤣🤣
 
watu wanajuana mpaka kule ndani rangi yake ikoje na ina nyama kiasi gani achana na harufu ya ushuzi tu iliyozoeleka. Ila kuwa na mwenza mpya mpaka mje mzoeane kama wa mwanzo ni shughuli pevu
 
Napita tu
Kuboresha ndoa kila mtu awe na chumba chake kupeana space
Hizi mambo za kujambiana 24/366 sijui mnaonaje wenzangu
Yaani mtu anakujua anakujua hadi harufu ya kijambo
Tupeane space .tunabanana mno hadi tunachokana
Hahah.. Kumbe tatzo na kukaa muda mrefu pamoja mnachokana...kwahyo wale ambao wenzi wao huwa wanasafir kikazi hata miez 4 afya zao za ndoa ziko vizr?
 
Napita tu
Kuboresha ndoa kila mtu awe na chumba chake kupeana space
Hizi mambo za kujambiana 24/366 sijui mnaonaje wenzangu
Yaani mtu anakujua anakujua hadi harufu ya kijambo
Tupeane space .tunabanana mno hadi tunachokana
Kuna kile kijambo cha bia mixer mishikaki × karanga za bar na K vanga ....haha kikiachiwa kwenye shuka na mwenzako hatumii vitu hvo ni hatari
 
Hata kinyesi chake akiingia chooni ni hatare
Bora kila mtu awe na choo chake kuepusha kero kama hizi
 
Back
Top Bottom