Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,385
Habari wakuu
Je inawezeka mtu akafanyiwa/akafanya handjob/footjob na mwathirika wa HIV/AIDS na asipate maambukizi?
NB:nimegoogle wazungu wanasema NO,Je sisi waafrika tunasemaje?
Fafanua hizo handjob au footjob ni niniHabari wakuu
Je inawezeka mtu akafanyiwa/akafanya handjob/footjob na mwathirika wa HIV/AIDS na asipate maambukizi?
NB:nimegoogle wazungu wanasema NO,Je sisi waafrika tunasemaje?
Masterbution ambayo unafanyiwa na mtu mwingine like massageFafanua hizo handjob au footjob ni nini
Mbona wanadai hata kama itatokea michubuko huwezi pataMikono wa wazungu laini sana halafu wao ni wataalam wa hiyo kazi. Huwezi niambia kuwa mwalimu ni sawa na mwanafinzi, Hapana. Hivyo kwao sio rahisi ila kwetu, mikono yenyewe tu inakwaruza na hawaijui kaz bila msaada wa picha ukutani hufikishi barua
Kwanza sidhani kama masterbution ndiyo message kama ulivyoandika.Masterbution ambayo unafanyiwa na mtu mwingine like massage
Hata kwa kusalimia unapata
Mbona wanadai hata kama itatokea michubuko huwezi pata