Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Miaka 25 baadaye, tunakumbuka milipuko ya kutisha ya mabomu katika balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania. Tunaheshimu na kuwakumbuka watu 213 waliopoteza maisha Agosti 7, 1998, na tunaapa kuwafikisha wahusika mbele ya sheria. Tufahamishe habari yako; unaweza kustahiki tuzo.
Ooh! Analogia Malenga tupe michongo! Tupe michongo! haya sasa mchongo huo hapo
Ooh! Analogia Malenga tupe michongo! Tupe michongo! haya sasa mchongo huo hapo