GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Chukulia kuwa hujui Kingereza, utdhubutu kwenda kwenye nchi wasioongea Kiswahili bali English pekee bila kuwa na mkalimani?
Jipe hiyo changamoto uone matokeo yake. Nenda labda Zambia au Malawi. "Hutakufa", badala yake utajua wewe ni mbunifu zaidi ya ulivyokuwa ulivyojikadiria.
Mwisho wa siku utagundua kuwa:
1. Wewe ni jasiri
2. Watu wengi ni wema zaidi ya ulivyokuwa ukifikiri
3. Umebuni mbinu ya kukusaidia kufikisha ujumbe kwa watu msiongee lugha moja
4. Umefanikiwa kuwasiliana na watu wote uliopaswa kuwasiliana nao japo hujui lugha yao na wao hawaijui lugha yako
Kama Wachina wameweza, na Watanzania nao wanaweza.