GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Wewe jamaa unaonekana mshamba na limbukeniChuckles kuwa hujui Kingereza, utdhubutu kwenda kwenye nchi wasioongea Kiswahili bali English pekee bila kuwa na mkalimani?
Jipe hiyo changamoto uone matokeo yake. Naenda labda Zambia au Malawi. "Hutakufa", badala yake utajua wewe ni mbunifu zaidi ya ulivyokuwa ukijikadiria.
Mwisho wa siku utagundua kuwa:
1. Wewe ni jasiri
2. Watu wengi ni wema zaidi ya ulivyokuwa ukifikiri
3. Umebuni mbinu ya kukusaidia kufikisha ujumbe kwa watu msiongee lugha moja
4. Umefanikiwa kuwasiliana na watu wote uliopaswa kuwasiliana nao japo hujui lugha yao na wao hawaijui lugha yako
Kama Wachina wameweza, na Watanzania nao wanaweza.
Kwani wazungu waliijua lugha yetu?Chuckles kuwa hujui Kingereza, utdhubutu kwenda kwenye nchi wasioongea Kiswahili bali English pekee bila kuwa na mkalimani?
Jipe hiyo changamoto uone matokeo yake. Naenda labda Zambia au Malawi. "Hutakufa", badala yake utajua wewe ni mbunifu zaidi ya ulivyokuwa ukijikadiria.
Mwisho wa siku utagundua kuwa:
1. Wewe ni jasiri
2. Watu wengi ni wema zaidi ya ulivyokuwa ukifikiri
3. Umebuni mbinu ya kukusaidia kufikisha ujumbe kwa watu msiongee lugha moja
4. Umefanikiwa kuwasiliana na watu wote uliopaswa kuwasiliana nao japo hujui lugha yao na wao hawaijui lugha yako
Kama Wachina wameweza, na Watanzania nao wanaweza.
Kuwa Mpole Mkuu!Wewe jamaa unaonekana mshamba na limbukeni
Sana kwenda hapo Kampala ndio unafungua nyuzi kila wakati.
Ni kweli, umepatia kwa asilimia themanini. Mimi ni mashamba kwa sababu mpaka sasa nina ekari zaidi ya ishirini za shamba. Nitakapofikisha ekari mia mbili nafikiri nitapewa cheo cha mshamba square.Wewe jamaa unaonekana mshamba na limbukeni
Sana kwenda hapo Kampala ndio unafungua nyuzi kila wakati.
Kilichowasaidia ni ujasiri, jambo ambalo naamini mtu yeyote pia anaweza akafanya hivyo akiwa na ujasiri kama waliokuwa nao WazunguKwani wazungu waliijua lugha yetu?
Naamini mtu yeyote atakayefanikiwa kufanya hivyo, maisha yake hayatakuwa kama yalivyokuwa. Atafahamu kuwa kilichokuwa kikimkwamisha kufikia malengo yake ni kitu kidogo tu, pengine, alitakiwa kuongeza kidogo tu ujasiri.Rahisi sana mbona, unaenda Finland hujui Finnish na una-adapt mazingira, unajifunza na ku-tune akili yako kuendana na mazingira, mwisho wa siku unayafurahia maisha.
Hivyo, unaweza.Kilichowasaidia ni ujasiri, jambo ambalo naamini mtu yeyote pia anaweza akafanya hivyo akiwa na ujasiri kama waliokuwa nao Wazungu
Nilienda Brazil na wanazungumza kireno! Ilikuwa shida kwa vile vibinti, nikagundua mawasiliano ni muhimu sana CC To yeye (acha makasiriko)Chukulia kuwa hujui Kingereza, utdhubutu kwenda kwenye nchi wasioongea Kiswahili bali English pekee bila kuwa na mkalimani?
Jipe hiyo changamoto uone matokeo yake. Nenda labda Zambia au Malawi. "Hutakufa", badala yake utajua wewe ni mbunifu zaidi ya ulivyokuwa ulivyojikadiria.
Mwisho wa siku utagundua kuwa:
1. Wewe ni jasiri
2. Watu wengi ni wema zaidi ya ulivyokuwa ukifikiri
3. Umebuni mbinu ya kukusaidia kufikisha ujumbe kwa watu msiongee lugha moja
4. Umefanikiwa kuwasiliana na watu wote uliopaswa kuwasiliana nao japo hujui lugha yao na wao hawaijui lugha yako
Kama Wachina wameweza, na Watanzania nao wanaweza.
PerkelleRahisi sana mbona, unaenda Finland hujui Finnish na una-adapt mazingira, unajifunza na ku-tune akili yako kuendana na mazingira, mwisho wa siku unayafurahia maisha.
Naamini karibia kila mtu anaweza kufanya hilo, ila huwa ninahisi kitu kinachotukwamisha Watanzania ni uoga! Wale wanaothubutu kufanya hivyo ni wajasiri.Hawa wafanya biashara wanaoenda China tena wengine ni darasa la saba wanaongea lugha gani?