Unaweza kushona/kutengeneza mfano wa zile suti za superheroes kama(Spiderman, Superman...)

Unaweza kushona/kutengeneza mfano wa zile suti za superheroes kama(Spiderman, Superman...)

Bata Boy Official

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
259
Reaction score
309
Habari zenu wakuu?

Nahisi kichwa cha uzi kinajitosheleza, japo kwa kuongezea kama wewe ni mmoja kati ya wanaoweza/kumfahamu anayeweza naomba tuwasiliane.

Njoo PM chap kwa haraka tufanye biashara.
 
Unataka kujifanya na wewe ni superhero sio? Utakuja kufa kizembe hao superman sijui spiderman ni mambo yakufikirika, usije kutaka kuiga utakufa.
Pacha, nimpe connection au nisimpe? [emoji848]
20230704_134857.jpg
 
Unataka kujifanya na wewe ni superhero sio? Utakuja kufa kizembe hao superman sijui spiderman ni mambo yakufikirika, usije kutaka kuiga utakufa.
Hahahaha dah kama wewe umejuwa ni watu wa kufikirika mimi nashindwa vipi kulijua hilo bro...lini tutajua kujibu swali au kutoa msaada wa shida husika???
 
Back
Top Bottom