Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
Sjui kama umesoma uzi vizuri....mimi nahitaji design yangu sio zenyewe za kina Spiderman (ndo maana nikasema mfano wa)Nunua online acha uzamani
Kama unamfahamu mwenye anaweza kutengeneza si mbaya ukanijulisha au ukamjulisha yeyePana fundi wa nguo apatae mda wa kuingia JF kweli mafundi nguo wapo bize sana kwa kazi.
Lakini ukiwapata hawashindwi
Pacha, nimpe connection au nisimpe? [emoji848]Unataka kujifanya na wewe ni superhero sio? Utakuja kufa kizembe hao superman sijui spiderman ni mambo yakufikirika, usije kutaka kuiga utakufa.
Huyu tailor ni mkatili sana. Mpe 🤣🤣Pacha, nimpe connection au nisimpe? [emoji848]View attachment 2678320
Hahahaha dah kama wewe umejuwa ni watu wa kufikirika mimi nashindwa vipi kulijua hilo bro...lini tutajua kujibu swali au kutoa msaada wa shida husika???Unataka kujifanya na wewe ni superhero sio? Utakuja kufa kizembe hao superman sijui spiderman ni mambo yakufikirika, usije kutaka kuiga utakufa.
Huna hurumaaaaHuyu tailor ni mkatili sana. Mpe 🤣🤣
Sidhani kama ni simple kiasi hicho,maana mpaka nimekuja huku sio kwamba mtaani sijapita etHilo shono simple tu kwa fundi yeyeto
Umeonaaanew superhero in town
Hivi ni kwanini bongo kila kitu tunalazimisha kuingiza utani?Fundi maiko