Unaweza kuta ndege itafika kesho Jumatatu ila wameleta thread kutuzuga

Unaweza kuta ndege itafika kesho Jumatatu ila wameleta thread kutuzuga

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa

Haw watu wa ajabu. Unaweza kuta ndege itafika kesho Jumatatu Bongo. Wameleta thread kutuzuga eti mzungu kashinda kesi ili watu-mock na kutucheka ndege ikiwasili kwasababu hawa watu wanaishi kwa mashindano na kukomoana hili kujifariji wanapoharibu na kushindwa.

Lyamber na barafu jaribuni kuitrace hii ndege nimeshawaona humu mkiitrace.
 
Wamelipa deni. Wamegundua mimacho peke yake haiwezi kumtisha mkulima.
 
Back
Top Bottom