Haw watu wa ajabu. Unaweza kuta ndege itafika kesho Jumatatu Bongo. Wameleta thread kutuzuga eti mzungu kashinda kesi ili watu-mock na kutucheka ndege ikiwasili kwasababu hawa watu wanaishi kwa mashindano na kukomoana hili kujifariji wanapoharibu na kushindwa.
Lyamber na barafu jaribuni kuitrace hii ndege nimeshawaona humu mkiitrace.