ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Ingawa ni AI, lakini Sura ni kama naijua mkuuπ’Heh mbona hivyo
Kila kitu kwa kiasiObserve in silence, the less you speak ,the more you see!
Huyu AI anafanana na nani?πIngawa ni AI, lakini Sura ni kama naijua mkuuπ’
Hapo kwenye Dah toa hiyo "h" wela RDah..,..!
True, but knowing when to speak is just as important as knowing when to stay silentA man is not measured by his words,But how he stands when life test him.
Balance is a hallmark of emotional intelligence,True, but knowing when to speak is just as important as knowing when to stay silent
The Icebreaker
in fact,Unaweza kutofautisha ukimya na ujeuri?
Kuna msemo unasema Silence is golden
Ni kweli, lakini not every silence is wisdom
Kuna watu wanaonekana ni wakimya, na kweli wanaweza kuwa wakimya kwa asili yao
Ila wakati mwingine sio ukimya tu, bali nyuma ya huo ukimya kuna jeuri, kiburi au dharau
Kwa mfano, huwezi ukasalimiwa halafu ukaamua kukaa kimya, au ukaulizwa jambo ukawa unamtazama mtu bila kujibu, halafu useme eti wewe ni mkimya
Kwa mtazamo wangu huo sio ukimya wa kawaida, huo ni silent disrespect
Kila kitu kina faida na hasara zake
Ukimya una faida nyingi unaweza kukuepusha na ugomvi, maneno yasiyo ya lazima na makosa mengi
Lakini hapa naongelea ukimya
kupita kiasi, sio ukimya wa busara
Too much silence wakati mwingine inaweza kukugharimu
Unaweza kukosa fursa za kazi, biashara, urafiki au hata mahusiano mazuri
Watu wanaweza kukuona una jeuri, una kiburi au unawadharau, ilhali wewe unaamini ni tabia yako tu ya kuwa mkimya
Mimi naamini kuna tofauti kubwa kati ya being quiet na being rude
Mtu anaweza kuwa mkimya lakini bado akawa na heshima
Anaweza kuitikia salamu, kujibu anapoulizwa na kuwasiliana inapobidi
Na hata kushiriki mijadala mbali mbali na kutoa hoja
Heshima haihitaji maneno mengi
Hii ni kweli kabisa
Kwako mdauπ«΄
Swali la Mjadalaπ
Unawezaje kutofautisha ukimya wa busara na ukimya unaoficha jeuri au dharau?
Au kwako yote ni kitu kimoja?
Ni Zipi faida hasa za kua mkimya sanaa?
Ni zipi hasara za kua mkimya sana?
Una furahia ukiwa karibu na mtu mkimya sana au unakua bored?
I completely agreeπ―Balance is a hallmark of emotional intelligence,
Deciding whether to engage or hold back can dramatically shift the outcome of a conversation or negotiation,
When to stay silent,
-During high emotion
-When listening is needed
-During negotiation
When to speak up
-To prevent misunderstandings
-During a crisis
-To set Boundaries.
Exactly mdauin fact,
ukimya na ujeuri ni tabia mbili tofauti sana miongoni mwa wanadamu,
mathalani,
mtu mkimya daima hana marafiki wengi wala hana maneno mengi sana, ila mambo yake ni kwa vitendo vyenye kishindo zaidi.
Daima mtu mkimya hua ni muerevu sana, mwaminifu, mtulivu na anaetumia muda mrefu sana kutafakari faida na hasara kabla kabla ya kuchukua hatua au kutenda jambo fulani.
Watu wa kimya daima huwa wastahilivu na wenye subra, wenye uwezo mkubwa sana wa kudhibiti mihemko, hasira au hisia zao.
Asantee Gentleman wa mchongo πLakini pia,
mtu wa kiburi daima hua ni mbinafsi na anaejiamini kupita kiasi, na daima hufanya mambo yake bila kujali athari au faida ya anachofanya au kutenda.
Mtu jeuri daima hua na uwezo mdogo mno kudhibiti, mihemko, hasira au hisia zake π
SawaUkimya ni hulka ......
π€£π€£Jeuri ni jeuri tu kubabake..... yani sitaki sitaki, na huna cha kunifanya !!
Shukrani karibu tenaNimekujibu kimtaani zaidi
nakubali ndugu mdau,Exactly mdau
Asantee Gentleman wa mchongo π
You are welcomenakubali ndugu mdau,
Nilijuaaa π€£π€£π€£π€£just be free,
you can name or call me as you wish, and you are warmly welcomed at any time as you can π
Yes,You are welcome
Nilijuaaa π€£π€£π€£π€£
So, you're saying I can call you whatever I want? ππ
π π π ngoja nikae kimya kama mada yangu inavyosema ewe ndugu mdauπYes,
just be free and enjoy ndugu mdau π