Unaweza kutofautisha Ukimya na Jeuri?

We dada , kwani wewe ni Mzaramo? 😂

Ukimya sio ujeuri kama mtu anautumia kwa manufaa yake binafsi.

Mimi binafsi sio mkimya ila naweza kutumia ukimya kwa manufaa yangu binafsi.
 
We dada , kwani wewe ni Mzaramo? 😂
🤣🤣🤣🤣
sihusiani na wazaramo hata
Ukimya sio ujeuri kama mtu anautumia kwa manufaa yake binafsi.

Mimi binafsi sio mkimya ila naweza kutumia ukimya kwa manufaa yangu binafsi.
Kutumia ukimya kwa manufaa yako binafsi ni sahihi lakini chonde usitumie ukimya wako kama dharau kwa wengine
 
Correct na nimejifunza not to prove myself to anyone

Jamii ya kitanzania na Africa kwa ujumla watu wapo low minded na hii imechangiwa ba vitu kama dini, mila potofu, na umaskini

Wengi hawajui hasa kwa nini wapo humu duniani, so unavyo leta perspective mpya wanaanza kuona umewazidi subconsciously lazima watakuchukia tu because people hate what they don't understand.
 
Hongera sana
 

watu wakimya hua tunasalimja na tunaupendo sana kwa kila mtu.

nikiulizwa hua najibu ila kiufupi sana labda niwe na mood nzuri hapo nitaongea sana hasa kama nipo na nilie mzoea.

kuulizwa na kukaa kimya labda nikiona jibu lina ukakasi nakaaga kimya kabisa.
 
Ooh safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…