ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #61
๐Pole kwa kuvuka mipaka yako ๐..
Na-enjoy uwepo wako jukwaani.
Unanifanisha na hivyo ulivyosema hapo juu okay asante kwa maoni yako๐Hoja na hati yako vinanifanya nikufananishe kimtazamo. I feel SORRY.
Sawa usiseme right?Unajua kila kitu unataka niseme Alafu unicheke nibaki nalia lia
Mimi ninavyo vyote ๐ ๐Unaweza kutofautisha ukimya na ujeuri?
Kuna msemo unasema Silence is golden
Ni kweli, lakini not every silence is wisdom
Kuna watu wanaonekana ni wakimya, na kweli wanaweza kuwa wakimya kwa asili yao
Ila wakati mwingine sio ukimya tu, bali nyuma ya huo ukimya kuna jeuri, kiburi au dharau
Kwa mfano, huwezi ukasalimiwa halafu ukaamua kukaa kimya, au ukaulizwa jambo ukawa unamtazama mtu bila kujibu, halafu useme eti wewe ni mkimya
Kwa mtazamo wangu huo sio ukimya wa kawaida, huo ni silent disrespect
Kila kitu kina faida na hasara zake
Ukimya una faida nyingi unaweza kukuepusha na ugomvi, maneno yasiyo ya lazima na makosa mengi
Lakini hapa naongelea ukimya
kupita kiasi, sio ukimya wa busara
Too much silence wakati mwingine inaweza kukugharimu
Unaweza kukosa fursa za kazi, biashara, urafiki au hata mahusiano mazuri
Watu wanaweza kukuona una jeuri, una kiburi au unawadharau, ilhali wewe unaamini ni tabia yako tu ya kuwa mkimya
Mimi naamini kuna tofauti kubwa kati ya being quiet na being rude
Mtu anaweza kuwa mkimya lakini bado akawa na heshima
Anaweza kuitikia salamu, kujibu anapoulizwa na kuwasiliana inapobidi
Na hata kushiriki mijadala mbali mbali na kutoa hoja
Heshima haihitaji maneno mengi
Hii ni kweli kabisa
Kwako mdau๐ซด
Swali la Mjadala๐
Unawezaje kutofautisha ukimya wa busara na ukimya unaoficha jeuri au dharau?
Au kwako yote ni kitu kimoja?
Ni Zipi faida hasa za kua mkimya sanaa?
Ni zipi hasara za kua mkimya sana?
Una furahia ukiwa karibu na mtu mkimya sana au unakua bored?
Ok Mungu akipendaSawa usiseme right?
AsanteeYou have a point.
That's niceBut we still choose to stay silent. However, just like staying silent, a single word can be misinterpreted and make people hate you, or worse get you killed.
Kipi kime mzidi mwenzie๐Mimi ninavyo vyote ๐ ๐
Yote kwa yote one should choose their words carefully. Haijalishi mazingira maana watu wanayo tabia ya kuchambua kila kitu. Hata ukikaa kimya watataka kuchambua huo ukimya.Asantee
That's nice
Ujeuri ๐Kipi kime mzidi mwenzie๐
Yes AsanteYote kwa yote one should choose their words carefully.
Huyu ni mimi kabisa ๐Haijalishi mazingira maana watu wanayo tabia ya kuchambua kila kitu. Hata ukikaa kimya watataka kuchambua huo ukimya.
Mimi siwezi kununa ukiona nimenuna ujue nimenuna milele yaan ni overUjeuri ๐
Nikishakaa kimya hata ufanyeje.
Hata mimi ni hivo hivo naambiwaga Nina kiburi Cha uzima.Mimi siwezi kununa ukiona nimenuna ujue nimenuna milele yaan ni over
Nimecheka shoga yangu๐คฃ๐คฃ๐คฃHata mimi ni hivo hivo naambiwaga Nina kiburi Cha uzima.
๐ ๐ ๐
Absolute right . sio kila kitu kibaya kutoka kwa wazungu lakini hili la kila mtu a mind his business ni kitu bora sanaCorrect na nimejifunza not to prove myself to anyone
Jamii ya kitanzania na Africa kwa ujumla watu wapo low minded na hii imechangiwa ba vitu kama dini, mila potofu, na umaskini
Wengi hawajui hasa kwa nini wapo humu duniani, so unavyo leta perspective mpya wanaanza kuona umewazidi subconsciously lazima watakuchukia tu because people hate what they don't understand.
AI done itMuonekano wa mwanaume mkimya halafu mpoleeโบ๏ธ
YesAI done it
Sawa sawaUkimya ni ukimya na jeiri ni jeuri
Ila we jamaa mpka leo hujaona tu ๐คฃ