Unaweza kutueleza jinsi unavoweza kudumisha kuwa msafi wa mwili na nyumba?

MONRACE

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
272
Reaction score
640
Hello wakuu.

Unaweza kutueleza jinsi unavyoweza kudumisha kuwa msafi Wa mwili na nyumba. Routine zako za usafi kila siku pamoja na (altitude) zako zinazokuwezesha kuwa msafi.

Nawasilisha[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikimaliza kupika na kula naosha vyombo
Pia ndani nimepunguza vitu hivyo wakati nataka kuoga naroweka nguo kisha nachukua ndoo nadeki
Nafua nikimaliza naoga kisha napotoka nje ni kuanika tu nimealiza

Usafi wa mwili ni rahisi kwani naoga asubh nasepa
Nikirudi jioni naoga basi
Siapply make up ya aina yoyote ile hivyo rahisi kujisafisha
Kichwani nina suka minyoosho(twende kilioni)
Hivyo nikitoka ni lemba ama kawigi basii simple
Kama ni kazi ya kuzunguka sana navaa soksi itanipunguzia kazi ya kuja kujisugua miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bravooo Ccy[emoji177]

Unaish MKOA gani??? Nmewaza kama upo dsm ukivaa Soksi kwenye mizunguko si joto shost......
 
Back
Top Bottom