Nikimaliza kupika na kula naosha vyombo
Pia ndani nimepunguza vitu hivyo wakati nataka kuoga naroweka nguo kisha nachukua ndoo nadeki
Nafua nikimaliza naoga kisha napotoka nje ni kuanika tu nimealiza
Usafi wa mwili ni rahisi kwani naoga asubh nasepa
Nikirudi jioni naoga basi
Siapply make up ya aina yoyote ile hivyo rahisi kujisafisha
Kichwani nina suka minyoosho(twende kilioni)
Hivyo nikitoka ni lemba ama kawigi basii simple
Kama ni kazi ya kuzunguka sana navaa soksi itanipunguzia kazi ya kuja kujisugua miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaish MKOA gani??? Nmewaza kama upo dsm ukivaa Soksi kwenye mizunguko si joto shost......Nikimaliza kupika na kula naosha vyombo
Pia ndani nimepunguza vitu hivyo wakati nataka kuoga naroweka nguo kisha nachukua ndoo nadeki
Nafua nikimaliza naoga kisha napotoka nje ni kuanika tu nimealiza
Usafi wa mwili ni rahisi kwani naoga asubh nasepa
Nikirudi jioni naoga basi
Siapply make up ya aina yoyote ile hivyo rahisi kujisafisha
Kichwani nina suka minyoosho(twende kilioni)
Hivyo nikitoka ni lemba ama kawigi basii simple
Kama ni kazi ya kuzunguka sana navaa soksi itanipunguzia kazi ya kuja kujisugua miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna soksi nyepes kabisa ambazo hata wanawake wa kiislam huvaaUnaish MKOA gani??? Nmewaza kama upo dsm ukivaa Soksi kwenye mizunguko si joto shost......