Unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido?

Ukikutana na mtu ana kifafa kinachoweza kuzinduliwa kwa kuona vitu vya marangirangi tofauti na makali pamoja, anaweza kuanguka na kuanza kutoa mapovu mdomoni mara tu baada ya kukiona kiatu hicho.
hahaha umenikumbusha video ya all of the lights ya Ye,Riri na Cudi,ikianza wanatoa warning kabisa wenye epilepsy wasiangalie sababu ya marangirangi ya kung'aa
 
Kesho lazima diamond atafute cha mchina avae
 
hahaha umenikumbusha video ya all of the lights ya Ye,Riri na Cudi,ikianza wanatoa warning kabisa wenye epilepsy wasiangalie sababu ya marangirangi ya kung'aa
Mazee hiyo video siijui wala sijaiona.

Ndiyo kwanza naisikia hapa habari nzima ya music video kuwa na epilepsy advisory..

Lakini it goes to show kwamba tunaweza kuandika kwa utani utani vitu hapa, kumbe ni tatizo la kweli mpaka wataalam wameliona.

We went from "Parental Advisory: Explicit Lyrics" to "Epilepsy Advisory".
 

Mimi ni mpenzi sana wa kuangalia TV news stations za UK hususan Sky News, ITV, na Channel 4.

Kwa UK 'flash photography' imekuwa ni 'standard warning' kwa muda sasa.

Kama video footage ina flash photography basi lazima waseme kuwa "Warning. This reports contains [some] flash photography".

I guess flash photography can trigger epileptic attacks in some folks.

But in the UK it's a very standard thing. Not in the US.

I also watch Al-Jazeera and 7 News [Austalia] but I've never seen them warn of flash photography [kinda ashamed of how much of a news junkie I am...teh teh].

 
Niliona warning Kwenye music mmoja nikaachana nayo kabisa.
 
My heart goes out to tge epileptics. Especially children. Muda wowote ki reflectiin chochote cha mwanga kinaweza ku trigger episode.

Bongo hatuna sana hizi habari au tunazipotezea tu?
 
Kama nawewe msanii unashindwaje...
 
Nadhani anaingia shift kiwandani,kwani hivyo ni viatu vya usalama kazini
 
Sipati tabu na viatu...ila huto tusuruali twenu..mmh...
 
Hivi unafahamu kwamba Diamond anavaa kikuku?

Uganda President signed a bill to put in prison those women caught wearing Mini Skirts - Friends, Here is Diana, Museveni's daughterView attachment 822651
Mkuu unetutoa kwenye mada kabisa....haya sasa uo mvinje unaishi wapi Kwa sasa mabaharia tupate pa kuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…