Unaweza kuwa lecturer kwa degree tu?

Unaweza kuwa lecturer kwa degree tu?

Kama una Degree pekee, utaanzia kuwa Tutorial assistant, baadae utakua Assistant lecture (kuanzia master degree) then ndo utakua Lecturer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je unaweza kuwa lecturer kama una degree? Gpa ya 4.2

Huwezi kuwa Lecturer kwa kuwa na degree pekee!

Kama una degree pekee na ukapata ajira yakufundisha chuo utaitwa Tutorial!

Ukiwa na elimu ya masters na kuendelea ndipo utaitwa Lecturer! It means hata ukifika level ya PhD unakuwa Dr lakini katika ajira bado unaitwa Lecturer(japo zina level Ass. Lecturer - Senior Lecturer )
 
Ushauri....! Nenda kasome. Uwe comfortable eneo unalofundisha....tuitorial assistant wengi huwa wanakosa ile 'sense of ownership' ya eneo wanalofundisha hivyo kukosa kujiamini
 
Hauwezi kuwa lecturer (mhadhiri) hii itakuhitaji angalau uwe na elimu kiwango cha umahiri (master's degree) na uwe umeandika machapisho ya kutosha kukidhi vigezo vya average points kupitia njia hii au njia rahisi kabisa ni kufika elimu kiwango cha uzamivu (Doctor of Philosophy, PhD) hapa moja kwa moja unakuwa mhadhiri. Kwa wewe utakuwa tutorial assistant (mkufunzi msaidizi).

Pia nimeona umeuliza kuhusu malipo,

Vyuo vya umma(Tanzania) kama chuo kikuu cha Dar es Salaam unalipwa kuanzia viwango vifuatavyo kabla ya makato;

Shahada ya miaka mitatu - Tshs. 1.6 M
Shahada ya miaka minne - Tshs. 1.7 M
Shahada ya miaka mitano - Tshs. 1.8 M
 
Shahada ya miaka mitano then nilipwe 1.8M ! Bora nibaki na degree yangu moja kwani napata zaidi ya hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauwezi kuwa lecturer (mhadhiri) hii itakuhitaji angalau uwe na elimu kiwango cha umahiri (master's degree) na uwe umeandika machapisho ya kutosha kukidhi vigezo vya average points kupitia njia hii au njia rahisi kabisa ni kufika elimu kiwango cha uzamivu (Doctor of Philosophy, PhD) hapa moja kwa moja unakuwa mhadhiri. Kwa wewe utakuwa tutorial assistant (mkufunzi msaidizi).

Pia nimeona umeuliza kuhusu malipo,

Vyuo vya umma(Tanzania) kama chuo kikuu cha Dar es Salaam unalipwa kuanzia viwango vifuatavyo kabla ya makato;

Shahada ya miaka mitatu - Tshs. 1.6 M
Shahada ya miaka minne - Tshs. 1.7 M
Shahada ya miaka mitano - Tshs. 1.8 M

Asante
 
Back
Top Bottom