Kumbuka kuwa, pamoja na kwamba unaweza kuwa mzuri sana ila bado utakataliwa....hata maembe ni matamu sana ila sio watu wote wanapenda maembe...
Mananasi pia ni matamu sana lakini sio watu wote wanapenda mananasi..VNa vyote vitamu unavyovijua sio kwamba vyote vinapendwa na kila mtu...
Kwahiyo usifikri urembo, shape, sura, rangi vitakufanya ukubalike kwa kila mtu.