Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Unaiweka billion tano kwenye uangalau si dharau hiziNajua wengi humu mtabisha maana mnajifanya mnagwajimanize kila kitu. Nilichokisema nakijua kiundani na ninamaanisha kuwekeza rasilimali ulizonazo kwenye betting. Utavuna mabilioni ya pesa ndani ya muda mfupi hadi watu wakuonee wivu na kukuita majina ya ajabu.
Chakufanya funguackampuni ya betting, hakikisha unavibali vyote na mtaji wa angalau bilioni kadhaa.
Weka odds za kuwatamanisha wanaofikiri utajiri ni jambo rahisi rahisi tu.
Kunja 4 subiri pesa mezani.
Mnatesa watu mkuu,mnatesa maskini mjueWeka odds za kuwatamanisha wanaofikiri utajiri ni jambo rahisi rahisi tu.