skills man
Member
- Nov 10, 2024
- 89
- 236
Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia maisha
Watoto wake aliwasomesha International school matokeo yake hakuna aliyefika chuo Mimi niliyosoma kayumba nikaenda advance mpka chuo kikuu nikamaliza hakunisaidia kitu akijua sitofika kokote .
Nikapata ajira haikuchukua hata mwezi serilikalini katika jeshi moja wapo la ulinzi ,nikaenda depo hata kunitafuta Wala kuniuliza Niko wapi, nikamaliza depo.
Mda huo watoto wake wapo nyumbani Mimi kanifukuza akisema anataka kupangisha kumbuka nilelewa kituo Cha watoto ya tima nilijepeleka mwenyewe.
Nitaludi........