Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Tujikumbushe majina ya mastaa hawa wote. Wahenga njooni...View attachment 1200906
nyakati hizo alikuwa bolton wanderers kama itakuwa nipo sahihi.Ivan Campo hakuwepo alikua kwenye kile kikosi wanavaa jezi za teka
nyakati hizo alikuwa bolton wanderers kama itakuwa nipo sahihi.
Zizo ndio kiboko yao. Acha uyo minjino anachoweza yeye kupiga kanzu na kukenuameno tu.
Zizo ndio kiboko yao. Acha uyo minjino anachoweza yeye kupiga kanzu na kukenuameno tu.
Pamoja na majina yote makubwa, kikosi hiki hakikubeba taji la UefaTujikumbushe majina ya mastaa hawa wote. Wahenga njooni...View attachment 1200906
Bolton ya akina Okocha, Anelka, Jaidi, Jussi Jaisklainen, Amdy Faye, Tel Ben Haim, Kevin Davies, Kelvin Nolan na wengineonyakati hizo alikuwa bolton wanderers kama itakuwa nipo sahihi.
Walter Samuel baadae alienda Inter akakutana na Lucio wakatengeneza moja ya ukuta bora katika historia ya Serie A na UCLSamwel walter alikuwa khatari shekhe.
Kwa nyakati hizo Zidane ndio alikuwa mbabe wao pamoja na Requelme babaa.
Umetisha mkuu,
- casillas
- ........... (francisco pavon?)
- ronaldo
- thomas gravesen a.k.a para kutoka everton
- figo
- zidane
- walter samuel
- rafael salgado
- carlos roberto
- gonzalez raul
- beckham david
Zidane bado sana kumfikia huyo mtume wa mwisho katika football
Mswalie mtume... Ndugu yangu utaenda motoni bure. Yaani unajaribu kumfananisha football master gaucho na zidane? Astaghafilulah.... Gaucho ndo mchezaji wa mwisho mfalme wa mpira.ambaye alizaliwa baada ya muingiliano wa alien na human being.sijui kama umenielewa
Wakati hiyo picha inapigwa Barcelona wana Uefa moja (1) wakati wanaume Real Madrid wana Uefa tisa (9).Ndiooo!!!Tisa!!!!