Unaweza Lipa Pesa Zako Kunua Gari la Umeme kama Hili la Kenya? Mbona kama Vitoi vya Watoto?

Unaweza Lipa Pesa Zako Kunua Gari la Umeme kama Hili la Kenya? Mbona kama Vitoi vya Watoto?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Tuache mzaha, teknolojia ya magari Kwa Africa Bado sana.Sasa hata kama ni uzalendo hili ndio gari gani Sasa? 🤣🤣🤣🤣

Wacha Ruto aendelee kuwa Mzalendo ila binafsi siwezi kutoa pesa yangu kununua matoi ya kuchezea Watoto

View: https://twitter.com/AfricaViewFacts/status/1698380369911758890?t=9af96UpwmDrGTs-EEXJO2Q&s=19
20230904_135036.jpg
20230904_135042.jpg
20230904_135039.jpg
20230904_135045.jpg
 
The future ni EV na Hybrid. Wachina wametuletea izi L9 sema sio cheap. Mil 170 bila ushuru , hapo used.

Sema 2024 tutaona EV na Hybrid nyingi sana, maana izi bei za mafuta hapana aisee.
1000121870.jpg
 
Tuache mzaha, teknolojia ya magari Kwa Africa Bado sana.Sasa hata kama ni uzalendo hili ndio gari gani Sasa? 🤣🤣🤣🤣

Wacha Ruto aendelee kuwa Mzalendo ila binafsi siwezi kutoa pesa yangu kununua matoi ya kuchezea Watoto

View: https://twitter.com/AfricaViewFacts/status/1698380369911758890?t=9af96UpwmDrGTs-EEXJO2Q&s=19View attachment 2738659View attachment 2738660View attachment 2738661View attachment 2738662

Kazi nzuri kwa kuanzia, pia kongole kwa serikali kusapoti

Baada ya miaka 15 watakuwa wapo mbali

Tuache kubeza wakati hatuwezi hata kutengeneza mkokoteni wa umeme
 
Back
Top Bottom