Unaweza Lipa Pesa Zako Kunua Gari la Umeme kama Hili la Kenya? Mbona kama Vitoi vya Watoto?

The future ni EV na Hybrid. Wachina wametuletea izi L9 sema sio cheap. Mil 170 bila ushuru , hapo used.

Sema 2024 tutaona EV na Hybrid nyingi sana, maana izi bei za mafuta hapana aisee.
 
Kazi nzuri kwa kuanzia, pia kongole kwa serikali kusapoti


Baada ya miaka 15 watakuwa wapo mbali


Tuache kubeza wakati hatuwezi hata kutengeneza mkokoteni wa umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…