Unaweza pata miche kadhaa ya Yellow, Red, na Pulple Dragon fruits

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Kipindi hiki cha mvua, unaweza otesha Dragon Fruits na ukapata matunda baada ya mwaka.

Ukiotesha Dragon kutumia cutti gs au kijiti utapata matunda ndani ya miezi 12 na ukitotesga mche utokano na mbegu vasi utasubiria miaka 4.

Dragon i astawi maeneo makame na yenye mvua za wastani.

Life span yake ni miaka 30 hadi 40, kuyoka kuotesha kwake, Unaweza anza na miche michache kabla ya kuweza kuotesha eneo kubwa zaidi.

images.jpg
FB_IMG_1672030003631.jpg
FB_IMG_1671913389422.jpg
 
Tupe N elimu hii miti inaletaje faida kama kilimo. Mm sijui ni malighaf ya Nn hii
Nami pia nataka kujua ina faida gani?
Maana binafsi naona kila kukicha kuna zao jipya linapewa promo ilihali kuna mazao mengi sana kwenye nchi yetu; ambayo laiti kama tungeyaendeleza na kuwa na viwanda, huenda tungepiga hatua zaidi. Kuliko kukabana koo kwenye tozo na kodi zisizo na makubaliano au kuanzisha mazao mapya
 
Kuna aina nyingi sana za matunda, unazo zijua wewe labda inaweza kuwa ni asilimia 4 tu,

Matunda yako aina za kutosha, na kadri wageni wanavyo jaaa Tanzania ndio tunakuwa tunafahamu na aina zingine, matunda kama Kiwi unazano ungeyajua kama sio wageni?
 
Tupe N elimu hii miti inaletaje faida kama kilimo. Mm sijui ni malighaf ya Nn hii
Matunda mkuu kama ilivyo Grapes na aina zingine za matunda, sema haya ni mageni na sana tunayajua kwa sababu ya Wageni wanao ishi Tanzania
 
Nahitaji maembe, machungwa, ndimu na machenza yaliyofanyiwa 'grafting' au 'budding'.
 
Kipindi hiki cha mvua, unaweza otesha Dragon Fruits na ukapata matunda baada ya mwaka.

Ukiotesha Dragon kutumia cutti gs au kijiti utapata matunda ndani ya miezi 12 na ukitotesga mche utokano na mbegu vasi utasubiria miaka 4.

Dragon i astawi maeneo makame na yenye mvua za wastani.

Life span yake ni miaka 30 hadi 40, kuyoka kuotesha kwake, Unaweza anza na miche michache kabla ya kuweza kuotesha eneo kubwa zaidi.

View attachment 2458937View attachment 2458938View attachment 2458939
mkuu nahitaji cutting, ni bei gani kwa sasa
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom