CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Nami pia nataka kujua ina faida gani?Tupe N elimu hii miti inaletaje faida kama kilimo. Mm sijui ni malighaf ya Nn hii
Kuna aina nyingi sana za matunda, unazo zijua wewe labda inaweza kuwa ni asilimia 4 tu,Nami pia nataka kujua ina faida gani?
Maana binafsi naona kila kukicha kuna zao jipya linapewa promo ilihali kuna mazao mengi sana kwenye nchi yetu; ambayo laiti kama tungeyaendeleza na kuwa na viwanda, huenda tungepiga hatua zaidi. Kuliko kukabana koo kwenye tozo na kodi zisizo na makubaliano au kuanzisha mazao mapya
Matunda mkuu kama ilivyo Grapes na aina zingine za matunda, sema haya ni mageni na sana tunayajua kwa sababu ya Wageni wanao ishi TanzaniaTupe N elimu hii miti inaletaje faida kama kilimo. Mm sijui ni malighaf ya Nn hii
Nahitaji miche.Nahitaji maembe, machungwa, ndimu na machenza yaliyofanyiwa 'grafting' au 'budding'.
Nahitaji miche.
Siyo matunda.
mkuu nahitaji cutting, ni bei gani kwa sasaKipindi hiki cha mvua, unaweza otesha Dragon Fruits na ukapata matunda baada ya mwaka.
Ukiotesha Dragon kutumia cutti gs au kijiti utapata matunda ndani ya miezi 12 na ukitotesga mche utokano na mbegu vasi utasubiria miaka 4.
Dragon i astawi maeneo makame na yenye mvua za wastani.
Life span yake ni miaka 30 hadi 40, kuyoka kuotesha kwake, Unaweza anza na miche michache kabla ya kuweza kuotesha eneo kubwa zaidi.
View attachment 2458937View attachment 2458938View attachment 2458939
Zipo mkuu, nicheki 0783691072mkuu nahitaji cutting, ni bei gani kwa sasa
Pia kuna link hapo ya Group la Dragon facebookmkuu nahitaji cutting, ni bei gani kwa sasa
Weka bei hapa weweZipo mkuu, nicheki 0783691072
4000@ cuttingWeka bei hapa wewe
Reasonable4000@ cutting
πππKipindi hiki cha mvua, unaweza otesha Dragon Fruits na ukapata matunda baada ya mwaka.